KILIMO CHA MAHINDI
HTML-код
- Опубликовано: 28 мар 2025
- Mahindi ni chakula kikuu katika nchi nyingi Africa ikiwemo Tanzania, mahindi ni lishe kuu kwa zaidi ya asilimia 50 ya watu, mahindi yana virutubisho vingi sana ikiwemo wanga, vitamin B, protini na madini, ambapo ni muhimu sana kwa afya zetu, mahindi huliwa kama ugali, japo wengine pia hupenedelea kula kama mahindi ya kuchoma
Mradi wa kuboresha myororo wa thamani katika zao la mahindi Tanzania unatekelezwa na shirika la AMDT
Hekari moja inatoa kiasi gani cha maindi
mykoo
ndugu maelezo yako ni uongo mtupu. hecta sio heka.
2.miche ya mahindi ni zaidi ya 22,000kwa hekari moja.
3.Acheni kupotosha wakulima.Nimesikitika saanaa.
Yusuf Ramadhan tueleweshe basi ndugu yangu kama kuna uwezekano hata namba y’a cm
kuna ekari na hekta... ekari moja ni sawa na mita za mraba 4047 na hekta moja ni mita za mraba 10,000.Hekta ni kubwa kuliko ekari
wapi naweza pata mbegu hii
Siku moja na mimi ntalima mahind
Habari nauza mbolea ya maj ya super gro
Uko wapi, napataje!?@@thefantastic3684
ninzur
Kipindi kilikua kizuru sasa hakipo tena tuna kiiitaji tena
Habari nauza mbolea ya maj ya super gro
unadanganya eti hekta miche 3000?.umesomea kiswahili au sanaa.
Naomba namba zako za cm nataka kulima msimu huu wa kiangazi mm 0766228285