MALKIA SANURA | SEASON 1 | FULL MOVIE
HTML-код
- Опубликовано: 27 мар 2025
- Follow Bravoo Genius on Instagram / bravoogenius
Follow Bravoo Genius on Facebook / bravoogx
Follow Bravoo Genius on TikTok www.tiktok.com...
#Dah #Nandy #Mapozi #Newbongomovies #Chididikemovies #ruthkadiri247 #Nandyftalikiba #diamondi #Harmonizenewsong #Diamondplatnum #Mbosso #Marioo #Nandynewsong #Zuchu #Nandy #Mistake #Mwakatobe #Newbongomovie #BravooGenius #MkweMchawi #Bongomovie #Clamvevo #Samiasuluhu
Mwakatobe mtu wangu. Hapo sawaa👍
nampenda sandara akicheza kama jini❤❤❤
Timu bravoo salt kwenu nawapenda xn
Kazi nzul sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😮😮😅😅😢😢🎉😂😂😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mwakatobe 😅😅😅noma san😂😂
Shikamoo mwakatobe hah😢😂😂😂et Beyonce mnyakusa
Mwakatobee😂...wangapi twatokea Kenya 😊
Niko apa
😂😂😂
Juma jicho unazingua sana unapambania kombe kwa kujifagilia😂😂😂
Nacheka sana mademu kutongoza wanaume
Juma jicho umeweza bro chukuwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
ila wazeee sofia nichuma kwel me nampenda sana sofia ❤❤❤❤
Sai au
Mwendo wakuyayuka tu😄😄
Dawa juma mwakatobe alimlaza chumba champangaji ake
Hawa watoto ni wazuri bana😘
Jamani mganga😂😂😂😂
Mwakatobe na kukubali sana🎉❤
Mwakatobe nakubali na Uganga wako ❤❤
Jamani bora mngelichagua Jina jengine yani mwajuma ndo hataki kuirudisha mrejesho yani nibora ni Bali jina😂😂😂😂😂
Mwakatobe na kipara wanezingua kwa hii movies
❤❤ mapenzi machungu baba
Kuwen na mwendelezo mzuri wa matukio mnatukatisha uhondo jmn
Juma jicho umeweza ❤❤
Kumbe Shakira mdigo wa tanga na miuno na Beyonce ni Mnyakyusa😅😅😅😅😅😅 pewa 🎉🎉🎉yako Mwakatobe
😆😆😆
Ngwaaaa ngwaaa😂😂😂
Juma jicho si kwa mistari hiyo yani full kumwaga vina😂😂😂
Nimeipenda
Ndo napenda saana hiyi 🤣🤣😂😂😂🤣 Tangu Congo 🇨🇩
Mmmh crismass, nipo hapa kenya
Kipara anakuanga serious 😂😂
❤❤❤This. Move
Mwakatobe big up
😂😂😂 mwakatobeeee
😮😂😂😂😂mama aminaaa duh mwakatobe mwisho
juma jicho kacheza vzr balaaa
Hv nani Ako muona Sophia wa kanumba yule
Season 2 pliiiz
❤❤salamu kutoka kenya huuyu sofia namtaka huku kenya nampenda
Mwakatobe umeshindikana jini kurufii
Jaman Sofia mi nataka nkupe mimba nimekupenda
Wahou
Jumaa umetisha sana.
Njoo kwangu lock man mbona nakutaka
Kwanza mwakatobe nampenda sana
Mwakatope uko juu sna
Jamani picha tamuu tena sana
🙏🏽
Kipara bado ujasema na mpaka useme 😂😂😂😂
❤❤ kioara anashida
Mungu aendelee kuwajalia ubunifu
Napenda sana huyu mganga
Ogopa anae tafuna mkaa na kujambaa giza totolo
Mwakatobe😅❤😂😂umejikataaa
😂😂😂 nimekukataa
Usimsahau juma kwa next film
😂😂😂😂 Nimechek mpka bas but iko poa next part musinikose😅😅 nichek niishe
Shukrani
Wewwww Alafu uwe umeota saa mbili usiku ikieelekea saa tatu
Wewwwe!!!!! Ucku Mrefuuu
utamani hata kulala😂😂
Team kubwa tunawapenda xana
Ndouzuli 🎉 from kenya
Mwakatobe anaweza kazi ya Uganga
Chiz uyo😂😂😂
😊juma umeweza, mapenzi yanauma😢
Jamani me mwezenu huyu binti namkubali kinyama ❤❤❤❤
Bonifacio
Só lei
Juma hicho unaweza mwang😅😅😅😅😅
Achimenengule! Aachimenengule! Nngwaa🤜...Nngwaaaa🤛
Naomba kipara
Napenda kazi yenu sana
Asante sana
Good morning
Kipara wana man😂
Malizieni moove hiyo
Mwakatobe heshima kwako
Download
❤❤❤
😂😂umeonaee mwakatobe chumaa
Nahtaji part 2
Juma jicho ni mtu na nusu anajuwa sanaaaa anavituko huyo kijanaa
Napenda kaziyenu tuu
Sofia huyo kanipendeza hila nampeda sana
BONGE LA MOVIE
Juma kijicho
Kipara kama jiko la gas
Juma Jicho kanimaliza
hikikipindi kina chapter nyingine ama
Mwakatobe😂😂😂💔
Elfu tisa mia nane😂😂
😂😂
Sema maalim
Uyo ni Sophia KANUMBA ao?
Duu achimenengule ngwa ngwa
Mtoto njoo nyumbani usiogope
Jichanganye mapenzi ya saivi umpe mtu asilimia 100 itakula kwako mpe robo ili hata likikuacha usiumie roho yako
ivi mwakatobe Uganga wako hauitaji ela maana katik move zenu cjawai kuona mnadai ela ata cku moja
Kadai labda kuna sehemu imekupita
Kadi kwenye nyama ya mwanangu, yule mvulana aliepakuliwa ,hapo alidai
Tunaomba season 2 please Bravoo😍
🎉🎉
Napenda mwakatobe
Kwani season 2 imekuaje mbona atuioni?
❤KAZI nzuri
Mwakatobe🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍
🎉🎉😂😂❤❤❤
❤❤❤❤❤❤🙌🙌💯💯💯
Santana kulfiii😢
Mnajitahid
Asante sana
Nataka wife kutoka TZ Bongo. 😅
Inchi gani hii
🎉🎉🎉🎉🎉